GCA-2014 Association
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.

GCA-2014 AssociationLog in

Gss-2014 Combinant Association

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyKARIBUNI Sana

more_horiz
Ahahaha ,mko wapi jamani .hii siyo Facebook.
Inaitwa GCA FORUM

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyRe: KARIBUNI Sana

more_horiz
Jamani habari za uzima wenu! Napenda kuwapongeza viongozi wetu kwa kazi nzuri waliyoifanya katika kuwaonyesha wanataasisi hii kwamba yajayo yanafurahisha. Kazi zenu na ZIPENDEZE mbele ya Mungu.

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyRe: KARIBUNI Sana

more_horiz
Asante Kaka Vicent. Together as one

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyRe: KARIBUNI Sana

more_horiz
Ahsante sana Karibuni piah

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyKaka vicent

more_horiz
Lakin umetuwekea profile picture ya shemej yetu

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyRe: KARIBUNI Sana

more_horiz
Hakika kweli yajayo yanafurahisha Sana umoja wetu Ndio nguvu yetu na ushindi katika kila hatua tunayo ipitia

descriptionKARIBUNI Sana  EmptyRe: KARIBUNI Sana

more_horiz
privacy_tip Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum