```Bajeti ni mpango wa kukusaidia kupangilia matumizi yako na uwekezaji wako kutokana na mapato yako!```

```Bajeti hasa huweza kukusaidia kujua matumizi yako ya siku, mwezi hadi mwaka na miaka mpaka mi 5 kama unaweka record!```

```Ndio maana suala la bajeti sio la kufanya kwa kichwa! It must be a written one! Lazima uandike chini ili uweze kutrack matumizi yako```

*Kupanga bajeti ni kitendo cha kuielekeza pesa yako iende wapi ikifika badala ya kubaki kushangaa pesa yako imeenda wapi*

```Nimekutana na baadhi ya watu wanasema "Nilipata hela lakini hata sijui imeishaje na imeenda wapi"```

```Wengine husema ni chuma ulete anakula pesa yao kumbe ni kukosa kuishi kwa bajeti!```

```Kama ulikuwa hupendi hesabu kwakweli hesabu ya hela yako inaenda wapi huwezi kuikwepa kama unatafuta uhuru kifedha!```

```For beginners
Kama ndio unaanza kufikiri suala la kuweka bajeti ni muhimu kwa mwaka huu ukajitahidi kuweka juhudi ya ku keep record ya matumizi yako!```

```Watu wengi na wengine tupo humu, wakiulizwa unatumia kiasi gani kwa siku, week hata mwezi unakuta mtu hajui
Ni kwasababu haweki bajeti yake kwa maandishi```

```Umuhimu wa bajeti```
*Itakusaidia sana kujua pesa yako imekwenda wapi*

```Na utajua ni wapi ume over spend ili kupunguza etc!```

*Itakusaidia kutokufanya matumizi yasiyo na msingi*
```Yaani anaything outside your budget haipati chance!```

*Itakusaidia kufikia uhuru unaotaka kifedha* Maana ```utajua namna ya kutawala fedha yako```

*Itakusaidia kuweka akiba ya kutosha, kwa kujua unatumia kiasi gani, any extra money goes to savings*

```Just to mention a few!```

```Sasa kuna budget ya aina nyingi i will just mention a few```

1. ```50/30/20
50% needs(hapa nazungumzia vitu ambayo huwezi ishi bila, kama chakula, maji, kodi, etc)```

```30% wants (hapa ndo unaweza mambo ya shopping zako binafsi,hobbies, and having fun etc)```

```20% savings/tithing```

2. ```70/10/10/10
Mie naitumia hii na nnaipenda kwasababu matumiwi yangu juu kwasababu kuna mkopo na clear so

70% (matumizi ya lazima plus debts kama unazo)

10% savings

10% tithing

10% investing/fun (which normally sina fun naunganishaga na savings to achieve smthn```

3. 30/30/30/10
Hii @⁨Fellyivetha 🤗⁩ atarudia kutuelezea!

```Lakini its mostly used na watu ambao tayari they have a healthy financial progress!```

*Tengeneza budget kulingana na mapato yako! Bajeti sio kujibana bali inakusidia to be in control with your money*

```Na you can be as flexible as you want with any budget you choose to follow```

Hakuna mtu anakushikia fimbo😅